Proverbs 25:3
Kama mbingu zilivyo juu na nchi ilivyo chini, 2 ndivyo ambavyo mioyo ya wafalme haichunguziki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The heaven for height, and the earth for depth, and the heart of kings is unsearchable.
In Context
2Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo, 2 bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo. 1
4Ondoa takataka kwenye madini ya fedha, 2 nako ndani yake kutatokea chombo 2 cha mfua fedha. 1
Cross References
1 Kings 4:29Mungu akampa Solomoni hekima na akili kubwa, pia ufahamu mpana usiopimika kama mchanga ulioko pwani ya bahari.
Isaiah 7:11“Mwombe Bwana Mungu wako ishara, iwe kwenye vina virefu sana, au kwenye vimo virefu sana.”
Romans 8:39wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kingine chochote zitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu, Bwana wetu.