The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 25 › Proverbs 25:6

Proverbs 25:6

Usijikweze mwenyewe mbele ya mfalme, 2 wala usidai nafasi miongoni mwa watu wakuu; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Put not forth thyself in the presence of the king, and stand not in the place of great men:

In Context

5Ondoa waovu mbele ya mfalme, 2 nacho kiti chake cha enzi 2 kitaimarishwa kwa njia ya haki. 1

7ni afadhali yeye akuambie, “Njoo huku juu,” 2 kuliko yeye kukuaibisha mbele ya mkuu. 1 Kile ulichokiona kwa macho yako 2

Read all of Proverbs 25

Cross References

1 Samuel 9:20Kuhusu wale punda uliowapoteza siku tatu zilizopita, usifadhaike kwa habari yao; wamepatikana. Ni kwa nani ambaye shauku yote ya Israeli imeelekea, kama si kwako na jamaa yote ya baba yako?”

1 Samuel 18:18Lakini Daudi akamwambia Sauli, “Mimi ni nani, nayo jamaa yangu ni nini au ukoo wa baba yangu katika Israeli, kwamba mimi niwe mkwewe mfalme?”

Psalms 131:1Moyo wangu hauna kiburi, Ee Bwana, 2 macho yangu hayajivuni; 1 sijishughulishi na mambo makuu kunizidi 2 wala mambo ya ajabu mno kwangu. 1

Proverbs 25:27Si vyema kula asali nyingi sana, 2 wala si heshima 2 kujitafutia heshima yako mwenyewe. 1

Jeremiah 1:6Nami nikasema, “Aa, Bwana Mwenyezi, sijui kusema, kwani mimi ni mtoto mdogo tu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 25:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 25:5Proverbs 25Proverbs 25:7 →