Proverbs 25:7
ni afadhali yeye akuambie, “Njoo huku juu,” 2 kuliko yeye kukuaibisha mbele ya mkuu. 1 Kile ulichokiona kwa macho yako 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Usijikweze mwenyewe mbele ya mfalme, 2 wala usidai nafasi miongoni mwa watu wakuu; 1
Cross References
Proverbs 16:19Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika roho 2 miongoni mwa walioonewa 2 kuliko kugawana nyara pamoja na wenye kiburi. 1
Luke 18:14“Nawaambia, huyu mtoza ushuru alirudi nyumbani akiwa amehesabiwa haki mbele za Mungu zaidi ya yule Farisayo. Kwa maana yeyote ajikwezaye atashushwa, na yeyote ajishushaye atakwezwa.” 1 Yesu Awabariki Watoto Wadogo (Mathayo 19:13-15; Marko 10:13-16)
Revelation 4:1Baada ya mambo hayo nilitazama, nami nikaona mbele yangu mlango uliokuwa wazi mbinguni. Nayo ile sauti niliyokuwa nimeisikia hapo mwanzo ikisema nami kama tarumbeta ikasema, “Njoo, huku, nami nitakuonyesha yale ambayo hayana budi kutokea baada ya haya.”