Proverbs 26:21
Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, 2 ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As coals are to burning coals, and wood to fire; so is a contentious man to kindle strife.
In Context
20Bila kuni moto huzimika; 2 pasipo uchongezi ugomvi humalizika. 1
22Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; 2 huingia sehemu za ndani sana za mtu. 1
Cross References
2 Samuel 20:1Basi, kulikuwa na mtu mbaya sana aliyeitwa Sheba mwana wa Bikri, Mbenyamini, aliyekuwako huko. Akapiga tarumbeta na kupaza sauti, 1 “Hatuna fungu katika Daudi, 2 wala hatuna sehemu 2 katika mwana wa Yese! 1 Kila mtu aende hemani mwake, 2 enyi Israeli!”
1 Kings 12:20Waisraeli wote waliposikia kwamba Yeroboamu amerudi, wakatuma watu na kumwita kwenye kusanyiko na kumfanya mfalme juu ya Israeli yote. Ni kabila la Yuda peke yake lililobaki kuwa tiifu kwa nyumba ya Daudi.
Proverbs 10:12Chuki huchochea faraka, 2 lakini upendo husitiri mabaya yote. 1
Proverbs 29:22Mtu mwenye hasira huchochea ugomvi, 2 naye mtu mwenye hasira ya haraka 2 hutenda dhambi nyingi. 1