The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 10 › Proverbs 10:12

Proverbs 10:12

Chuki huchochea faraka, 2 lakini upendo husitiri mabaya yote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hatred stirreth up strifes: but love covereth all sins.

In Context

11Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1

13Hekima hupatikana katika midomo ya wenye kupambanua, 2 lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake asiye na ufahamu. 1

Read all of Proverbs 10

Cross References

Proverbs 16:27Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya, 2 maneno yake ni kama moto uunguzao. 1

Proverbs 28:25Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, 2 bali yule amtegemeaye Bwana atafanikiwa. 1

1 Corinthians 13:4Upendo huvumilia, upendo hufadhili, upendo hauoni wivu, hauna majivuno, hauna kiburi.

James 5:20hamna budi kujua kwamba yeyote amrejezaye mwenye dhambi kutoka upotovu wake, ataiokoa roho ya huyo mwenye dhambi kutoka mauti na kusitiri wingi wa dhambi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 10:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 10:11Proverbs 10Proverbs 10:13 →