The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 26 › Proverbs 26:25

Proverbs 26:25

Ingawa maneno yake huvutia, usimwamini, 2 kwa maana machukizo saba hujaza moyo wake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When he speaketh fair, believe him not: for there are seven abominations in his heart.

In Context

24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, 2 lakini moyoni mwake huficha udanganyifu. 1

26Nia yake ya kudhuru wengine inaweza kufichwa na udanganyifu, 2 lakini uovu wake utafichuliwa kwenye kusanyiko. 1

Read all of Proverbs 26

Cross References

Nehemiah 6:2Sanbalati na Geshemu wakanitumia ujumbe huu: “Njoo, tukutane katika mojawapo ya vijiji katika nchi tambarare ya Ono.” Lakini walikuwa wakikusudia kunidhuru.

Psalms 28:3Usiniburute pamoja na waovu, 2 pamoja na hao watendao mabaya, 1 ambao huzungumza na jirani zao maneno mazuri, 2 lakini mioyoni mwao wameficha chuki. 1

Jeremiah 9:2Laiti ningekuwa na nyumba 2 ya kukaa wasafiri jangwani, 1 ningewaacha watu wangu 2 na kwenda mbali nao, 1 kwa kuwa wote ni wazinzi, 2 kundi la watu wadanganyifu. 1

Micah 7:5Usimtumaini jirani; 2 usiweke matumaini kwa rafiki. 1 Hata kwa yule alalaye kifuani mwako 2 uwe mwangalifu kwa maneno yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 26:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 26:24Proverbs 26Proverbs 26:26 →