The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 26 › Proverbs 26:4

Proverbs 26:4

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Answer not a fool according to his folly, lest thou also be like unto him.

In Context

3Mjeledi kwa farasi, lijamu kwa punda, 2 nayo fimbo kwa migongo ya wapumbavu! 1

5Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama atakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe. 1

Read all of Proverbs 26

Cross References

Judges 12:1Watu wa Efraimu wakaita majeshi yao, wakavuka kwenda Zafoni, wakamwambia Yefta, “Kwa nini mmekwenda kupigana na Waamoni bila kutuita ili twende pamoja nawe? Basi tutaichoma moto nyumba yako, pamoja nawe ukiwa ndani yake.”

1 Kings 12:14akafuata shauri la vijana wa rika lake na kusema, “Baba yangu alifanya nira yenu kuwa nzito, mimi nitaifanya kuwa nzito zaidi. Baba yangu aliwachapa kwa mijeledi, mimi nitawachapa kwa nge.”

2 Kings 14:8Kisha Amazia akatuma wajumbe kwa Yehoashi mwana wa Yehoahazi, mwana wa Yehu, mfalme wa Israeli, akisema, “Njoo, tuonane uso kwa uso.”

Proverbs 26:5Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama atakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe. 1

1 Peter 2:21Ninyi mliitwa kwa ajili ya haya, kwa sababu Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akiwaachia kielelezo, ili mzifuate nyayo zake. 1

Jude 1:9Lakini hata malaika mkuu Mikaeli alipokuwa anashindana na ibilisi juu ya mwili wa Mose, hakuthubutu kumlaumu, bali alimwambia, “Bwana na akukemee!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 26:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 26:3Proverbs 26Proverbs 26:5 →