Proverbs 26:3
Mjeledi kwa farasi, lijamu kwa punda, 2 nayo fimbo kwa migongo ya wapumbavu! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A whip for the horse, a bridle for the ass, and a rod for the fool’s back.
In Context
4Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. 1
Cross References
Judges 8:5Akawaambia watu wa Sukothi, “Tafadhali lipatieni jeshi langu mikate, kwa maana wamechoka, nami ningali ninawafuatia Zeba na Salmuna, wafalme wa Midiani.”
Proverbs 10:13Hekima hupatikana katika midomo ya wenye kupambanua, 2 lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake asiye na ufahamu. 1
Proverbs 19:25Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara, 2 mkemee mwenye ufahamu naye atapata maarifa. 1
Proverbs 27:22Hata ukimtwanga mpumbavu kwenye kinu, 2 ukimtwanga kama nafaka kwa mchi, 2 hutauondoa upumbavu wake. 1
2 Corinthians 10:6tena tukiwa tayari kuadhibu kila tendo la kutotii, kutii kwenu kutakapokamilika.