The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 10 › Proverbs 10:26

Proverbs 10:26

Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho, 2 ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As vinegar to the teeth, and as smoke to the eyes, so is the sluggard to them that send him.

In Context

25Tufani inapopita, waovu hutoweka, 2 lakini wenye haki husimama imara milele. 1

27Kumcha Bwana huongeza urefu wa maisha, 2 lakini miaka ya mwovu inafupishwa. 1

Read all of Proverbs 10

Cross References

Proverbs 6:6Ewe mvivu, mwendee mchwa; 2 zitafakari njia zake ukapate hekima! 1

Proverbs 25:20Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi, 2 au kama siki iliyomwagwa juu ya magadi, 2 ndivyo alivyo yeye amuimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito. 1

Isaiah 65:5wasemao, ‘Kaa mbali; usinikaribie, 2 kwa maana mimi ni mtakatifu mno kwako!’ 1 Watu wa aina hiyo ni moshi katika pua zangu, 2 ni moto uwakao mchana kutwa. 1

Romans 12:11Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 10:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 10:25Proverbs 10Proverbs 10:27 →