Proverbs 27:16
Kumzuia yeye ni kama kuuzuia upepo 2 au kukamata mafuta kwa kiganja cha mkono. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whosoever hideth her hideth the wind, and the ointment of his right hand, which bewrayeth itself.
In Context
15Mke mgomvi ni kama 2 matone yasiyokoma ya siku ya mvua. 1
17Kama vile chuma kinoavyo chuma, 2 ndivyo mtu amnoavyo mwenzake. 1
Cross References
John 12:3Kisha Maria akachukua chupa ya painti moja + 12:3 Painti moja ni kama nusu lita. yenye manukato ya nardo + 12:3 Nardo ni aina ya mafuta yaliyokuwa yanatengenezwa kutokana na mimea yenye mizizi inayotoa harufu nzuri. safi ya thamani kubwa, akayamimina miguuni mwa Yesu na kuifuta kwa nywele zake. Nyumba nzima ikajaa harufu nzuri ya manukato.