Proverbs 27:2
Mwache mwingine akusifu, 2 wala si kinywa chako mwenyewe; 1 mtu mwingine afanye hivyo 2 na si midomo yako mwenyewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let another man praise thee, and not thine own mouth; a stranger, and not thine own lips.
In Context
1Usijisifu kwa ajili ya kesho, 2 kwa kuwa hujui ni nini kitakachozaliwa kwa siku moja. 1
3Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo, 2 lakini kukasirishwa na mpumbavu ni kuzito kuliko vyote viwili. 1
Cross References
Proverbs 20:6Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma, 2 bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata? 1
2 Corinthians 10:12Hatuthubutu kujiweka kwenye kundi moja au kujilinganisha na hao wanaojitukuza wenyewe kuwa wao ni wa maana sana. Wanapojipima na kujilinganisha wenyewe kwa wenyewe, wanaonyesha ya kuwa hawana busara.
2 Corinthians 12:11Nimekuwa mjinga, lakini ninyi mmenilazimisha niwe hivyo. Kwa kuwa ilinipasa kusifiwa na ninyi, kwa sababu mimi si dhalili kuliko wale “mitume walio bora,” ingawa mimi si kitu.