The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 27 › Proverbs 27:3

Proverbs 27:3

Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo, 2 lakini kukasirishwa na mpumbavu ni kuzito kuliko vyote viwili. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A stone is heavy, and the sand weighty; but a fool’s wrath is heavier than them both.

In Context

2Mwache mwingine akusifu, 2 wala si kinywa chako mwenyewe; 1 mtu mwingine afanye hivyo 2 na si midomo yako mwenyewe. 1

4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, 2 lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 1

Read all of Proverbs 27

Cross References

Genesis 49:7Hasira yao na ilaaniwe, kwa kuwa ni kali mno, 2 nayo ghadhabu yao ni ya ukatili! 1 Nitawatawanya katika Yakobo 2 Na kuwasambaza katika Israeli. 1

1 Samuel 22:18Kisha mfalme akamwagiza Doegi, “Wewe geuka ukawaue makuhani.” Hivyo basi Doegi Mwedomu, akageuka na kuwaua. Siku ile aliwaua watu themanini na watano wavaao visibau vya kitani.

Proverbs 17:12Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyangʼanywa watoto wake, 2 kuliko mpumbavu katika upumbavu wake. 1

1 John 3:12Msiwe kama Kaini aliyekuwa wa yule mwovu akamuua ndugu yake. Basi kwa nini alimuua? Ni kwa sababu matendo yake Kaini yalikuwa mabaya na ya ndugu yake yalikuwa ya haki.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 27:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 27:2Proverbs 27Proverbs 27:4 →