The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 28 › Proverbs 28:17

Proverbs 28:17

Mtu mwenye kusumbuliwa na hatia ya kuua 2 atakuwa mtoro mpaka kufa; 2 mtu yeyote na asimsaidie. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A man that doeth violence to the blood of any person shall flee to the pit; let no man stay him.

In Context

16Mtawala dhalimu hana akili, 2 bali yeye achukiaye mapato ya udhalimu 2 atafurahia maisha marefu. 1

18Yeye ambaye mwenendo wake hauna lawama 2 hulindwa salama, 1 bali yeye ambaye njia zake ni potovu 2 ataanguka ghafula. 1

Read all of Proverbs 28

Cross References

Genesis 9:6“Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, 2 damu yake itamwagwa na mwanadamu, 1 kwa kuwa katika mfano wa Mungu, 2 Mungu alimuumba mwanadamu.

Numbers 35:14Mtatoa miji mitatu ngʼambo hii ya Yordani na miji mingine mitatu upande wa Kanaani kama miji ya makimbilio.

2 Samuel 13:34Wakati huo, Absalomu akawa amekimbia. Basi mlinzi akaangalia, naye akaona watu wengi barabarani magharibi yake, wakishuka kutoka upande wa kilima. Mlinzi akaenda akamwambia mfalme, “Naona watu wakitokea upande wa Horonaimu, huko upande wa kilimani.”

1 Kings 2:29Mfalme Solomoni akaambiwa kuwa Yoabu amekimbilia kwenye hema la Bwana naye alikuwa kando ya madhabahu. Basi Solomoni akamwagiza Benaya mwana wa Yehoyada: “Nenda ukamuue!”

1 Kings 21:23“Pia kwa habari ya Yezebeli Bwana anasema, ‘Mbwa watamla Yezebeli karibu na ukuta wa Yezreeli.’

2 Chronicles 24:21Lakini wakafanya shauri baya juu yake na kwa amri ya mfalme wakampiga kwa mawe mpaka akafa katika ukumbi wa Hekalu la Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 28:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 28:16Proverbs 28Proverbs 28:18 →