Proverbs 28:16
Mtawala dhalimu hana akili, 2 bali yeye achukiaye mapato ya udhalimu 2 atafurahia maisha marefu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Kama simba angurumaye au dubu ashambuliaye, 2 ndivyo alivyo mtu mwovu atawalaye wanyonge. 1
17Mtu mwenye kusumbuliwa na hatia ya kuua 2 atakuwa mtoro mpaka kufa; 2 mtu yeyote na asimsaidie. 1
Cross References
1 Kings 12:10Wale vijana wa rika lake wakamjibu, “Waambie watu hawa waliokuambia, ‘Baba yako aliweka nira nzito juu yetu, lakini ifanye nira yetu nyepesi,’ kuwa, ‘Kidole changu kidogo ni kinene kuliko kiuno cha baba yangu.
Nehemiah 5:15Lakini watawala wa mwanzoni, wale walionitangulia, waliwalemea watu na kuchukua kutoka kwao shekeli arobaini za fedha, + 5:15 Shekeli 40 za fedha ni sawa na gramu 456. pamoja na chakula na mvinyo. Wasaidizi wao pia walijifanya wakuu juu ya watu. Lakini kwa kumheshimu Mungu sikufanya hivyo.
Ecclesiastes 4:1Nikatazama tena nikaona uonevu wote uliokuwa unafanyika chini ya jua: 1 Nikaona machozi ya walioonewa, 2 wala hawana wa kuwafariji; 1 uwezo ulikuwa upande wa wale wanaowaonea, 2 wala hawana wa kuwafariji. 1
Isaiah 33:15Yeye aendaye kwa uadilifu 2 na kusema lililo haki, 1 yeye anayekataa faida ipatikanayo kwa dhuluma 2 na kuizuia mikono yake isipokee rushwa, 1 yeye azuiaye masikio yake dhidi ya mashauri ya mauaji, 2 na yeye afumbaye macho yake yasitazame sana uovu: 1
Amos 4:1Sikilizeni neno hili, ninyi ngʼombe wa Bashani 2 mlioko juu ya Mlima Samaria, 1 ninyi wanawake mnaowaonea maskini, 2 na kuwagandamiza wahitaji, 1 na kuwaambia wanaume wenu, 2 “Tuleteeni vinywaji!” 1