The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 28 › Proverbs 28:25

Proverbs 28:25

Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, 2 bali yule amtegemeaye Bwana atafanikiwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He that is of a proud heart stirreth up strife: but he that putteth his trust in the LORD shall be made fat.

In Context

24Yeye amwibiaye babaye au mamaye 2 na kusema, “Si kosa,” 2 yeye ni mwenzi wa yule aharibuye. 1

26Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu, 2 bali yeye atembeaye katika hekima hulindwa salama. 1

Read all of Proverbs 28

Cross References

Psalms 84:12Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 heri ni mtu yule anayekutumaini wewe.

Proverbs 11:25Mtu mkarimu atastawi; 2 yeye awaburudishaye wengine 2 ataburudishwa mwenyewe. 1

Proverbs 13:10Kiburi huzalisha magomvi tu, 2 bali hekima hupatikana kwa wale wanaozingatia ushauri. 1

Proverbs 15:30Mtazamo wa tabasamu huleta furaha moyoni, 2 nazo habari njema huipa mifupa afya. 1

Proverbs 22:10Mfukuze mwenye dhihaka, 2 na mvutano utatoweka; 2 ugomvi na matukano vitakoma. 1

Proverbs 29:25Kuwaogopa watu huwa ni mtego, 2 bali yeyote amtumainiaye Bwana atakuwa salama. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 28:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 28:24Proverbs 28Proverbs 28:26 →