Proverbs 28:24
Yeye amwibiaye babaye au mamaye 2 na kusema, “Si kosa,” 2 yeye ni mwenzi wa yule aharibuye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Yeye amkemeaye mtu mwishoni hupata kibali zaidi, 2 kuliko mwenye maneno ya kusifu isivyostahili. 1
25Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, 2 bali yule amtegemeaye Bwana atafanikiwa. 1
Cross References
Proverbs 13:20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, 2 bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 1
Proverbs 19:26Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake 2 ni mwana aletaye aibu na fedheha. 1
Proverbs 28:7Yeye ashikaye sheria ni mwana mwenye ufahamu, 2 bali rafiki wa walafi humwaibisha baba yake. 1