Proverbs 22:10
Mfukuze mwenye dhihaka, 2 na mvutano utatoweka; 2 ugomvi na matukano vitakoma. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Cast out the scorner, and contention shall go out; yea, strife and reproach shall cease.
In Context
9Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa 2 kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini. 1
11Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema, 2 mfalme atakuwa rafiki yake. 1
Cross References
Judges 9:55Waisraeli walipoona kuwa Abimeleki amekufa, kila mtu akaenda nyumbani kwake.
Nehemiah 13:28Mmoja wa wana wa Yoyada mwana wa Eliashibu kuhani mkuu alikuwa mkwewe Sanbalati Mhoroni. Nami nilimfukuza mbele yangu.
Proverbs 18:6Midomo ya mpumbavu humletea ugomvi 2 na kinywa chake hualika kipigo. 1
Proverbs 26:20Bila kuni moto huzimika; 2 pasipo uchongezi ugomvi humalizika. 1
1 Corinthians 5:5mkabidhini mtu huyu kwa Shetani, ili mwili wake uharibiwe, ili roho yake iokolewe katika siku ya Bwana.