Proverbs 28:9
Kama mtu yeyote akikataa kusikia sheria, 2 hata maombi yake ni chukizo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that turneth away his ear from hearing the law, even his prayer shall be abomination.
In Context
Cross References
Psalms 66:18Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, 2 Bwana asingekuwa amenisikiliza; 1
Psalms 109:7Anapohukumiwa, apatikane na hatia, 2 nayo maombi yake yamhukumu. 1
Proverbs 21:13Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, 2 yeye pia atalia, wala hatajibiwa. 1
Isaiah 58:7Je, sio kushirikiana chakula chako na wenye njaa 2 na kuwapatia maskini wasiokuwa na makao hifadhi, 1 unapomwona aliye uchi, umvike, 2 wala si kumkimbia mtu wa nyama na damu yako mwenyewe? 1
Zechariah 7:11“Lakini wakakataa kusikiliza, wakanipa kisogo kwa ukaidi na kuziba masikio yao.
2 Timothy 4:3Maana wakati utakuja watu watakapokataa kuyakubali mafundisho yenye uzima. Badala yake, ili kutimiza tamaa zao wenyewe, watajikusanyia idadi kubwa ya walimu wapate kuwaambia yale ambayo masikio yao yanayowasha yanatamani kuyasikia.