The Bible Software
bible.softwareZekariaZekaria 7 › Zekaria 7:11

Zekaria 7:11

“Lakini wakakataa kusikiliza, wakanipa kisogo kwa ukaidi na kuziba masikio yao.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But they refused to hearken, and pulled away the shoulder, and stopped their ears, that they should not hear.

In Context

10Msimwonee mjane wala yatima, mgeni wala maskini. Msiwaziane mabaya mioyoni mwenu ninyi kwa ninyi.’

12Wakaifanya mioyo yao migumu kama jiwe gumu na hawakuisikiliza sheria au maneno ambayo Bwana Mwenye Nguvu Zote aliyatuma kwa njia ya Roho wake kupitia manabii waliotangulia. Kwa hiyo Bwana Mwenye Nguvu Zote alikasirika sana.

Read all of Zekaria 7

Cross References

Exodus 10:3Kwa hiyo Mose na Aroni wakaenda kwa Farao na kumwambia, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Waebrania, asemalo: ‘Utaendelea hata lini kukataa kunyenyekea mbele yangu? Waachie watu wangu waende, ili wapate kuniabudu.

2 Chronicles 33:10Bwana akasema na Manase pamoja na watu wake, lakini hawakumjali.

Nehemiah 9:26“Lakini hawakukutii nao wakaasi dhidi yako, wakatupa sheria zako nyuma yao. Wakawaua manabii wako, waliowaonya ili wakurudie, na wakafanya makufuru makubwa.

Psalms 58:4Sumu yao ni kama sumu ya nyoka, 2 kama ile ya fira ambaye ameziba masikio yake, 1

Isaiah 1:19Kama mkikubali na kutii, 2 mtakula mema ya nchi, 1

Isaiah 28:12wale ambao aliwaambia, 2 “Hapa ni mahali pa kupumzika, 2 waliochoka na wapumzike,” 1 na, “Hapa ni mahali pa mapumziko,” 2 lakini hawakutaka kusikiliza. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 7:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 7:10Zekaria 7Zekaria 7:12 →