Proverbs 29:10
Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu 2 na hutafuta kumuua mtu mnyofu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The bloodthirsty hate the upright: but the just seek his soul.
In Context
11Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, 2 bali mwenye hekima hujizuia. 1
Cross References
1 Samuel 15:11“Ninasikitika kwamba nimemfanya Sauli kuwa mfalme, kwa sababu ameacha kunifuata mimi na hakutimiza maagizo yangu.” Samweli akafadhaika, naye akamlilia Bwana usiku ule wote.
1 Samuel 22:11Kisha mfalme akatuma watu wamwite kuhani Ahimeleki mwana wa Ahitubu, na jamaa yote ya baba yake, waliokuwa makuhani huko Nobu, nao wote wakaja kwa mfalme.
1 Kings 22:8Mfalme wa Israeli akamjibu Yehoshafati, “Bado yupo mtu mmoja ambaye kupitia yeye twaweza kumuuliza shauri la Bwana, lakini namchukia kwa sababu huwa hatabiri jambo lolote jema kunihusu mimi, lakini kila mara hunitabiria mabaya tu. Yeye ni Mikaya mwana wa Imla.” Yehoshafati akajibu, “Mfalme hapaswi kusema hivyo.”
Proverbs 13:19Tarajio lililotimizwa ni tamu kwa nafsi, 2 bali wapumbavu huchukia sana kuacha ubaya. 1
Jeremiah 18:20Je, mema yalipwe kwa mabaya? 2 Lakini wao wamenichimbia shimo. 1 Kumbuka kwamba nilisimama mbele yako 2 na kunena mema kwa ajili yao, 2 ili wewe ugeuze hasira yako kali mbali nao. 1
Jeremiah 38:13nao wakamvuta juu kwa kamba na kumtoa katika kisima. Yeremia akakaa katika ua wa walinzi. 1 Sedekia Amhoji Yeremia Tena