Proverbs 13:19
Tarajio lililotimizwa ni tamu kwa nafsi, 2 bali wapumbavu huchukia sana kuacha ubaya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The desire accomplished is sweet to the soul: but it is abomination to fools to depart from evil.
In Context
18Yeye anayedharau maonyo hupata umaskini na aibu, 2 bali yeye anayekubali maonyo huheshimiwa. 1
20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, 2 bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 1
Cross References
Job 28:28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, 2 ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, 2 nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”
Psalms 34:14Aache uovu, atende mema, 2 aitafute amani na kuifuatilia. 1
Proverbs 3:7Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe; 2 mche Bwana ukajiepushe na uovu. 1
Proverbs 16:6Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa; 2 kwa kumcha Bwana mtu hujiepusha na ubaya. 1
Proverbs 29:10Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu 2 na hutafuta kumuua mtu mnyofu. 1
Song of Solomon 3:4Kitambo kidogo tu baada ya kuwapita 2 nilimpata yule moyo wangu umpendaye. 1 Nilimshika na sikumwachia aende 2 mpaka nilipomleta katika nyumba ya mama yangu, 2 katika chumba cha yule aliyenichukua mimba. 1