Proverbs 29:11
Mpumbavu huonyesha hasira yake yote, 2 bali mwenye hekima hujizuia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A fool uttereth all his mind: but a wise man keepeth it in till afterwards.
In Context
10Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu 2 na hutafuta kumuua mtu mnyofu. 1
12Kama mtawala akisikiliza uongo, 2 maafisa wake wote huwa waovu. 1
Cross References
Judges 16:17Hivyo akamwambia yule mwanamke siri yake yote, akamwambia, “Wembe haujapita kamwe kichwani mwangu, kwa kuwa mimi ni Mnadhiri wa Mungu tangu tumboni mwa mama yangu. Kama nywele za kichwa changu zikinyolewa, nguvu zangu zitanitoka, na nitakuwa dhaifu kama mtu mwingine yeyote!”
Proverbs 12:23Mtu mwenye busara hujihifadhia maarifa yeye mwenyewe, 2 bali moyo wa wapumbavu hububujika upumbavu. 1
Proverbs 19:11Hekima ya mtu humpa uvumilivu, 2 ni kwa utukufu wake kusamehe makosa. 1
Micah 7:5Usimtumaini jirani; 2 usiweke matumaini kwa rafiki. 1 Hata kwa yule alalaye kifuani mwako 2 uwe mwangalifu kwa maneno yako. 1