Proverbs 29:21
Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu ujanani, 2 atamletea sikitiko mwishoni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that delicately bringeth up his servant from a child shall have him become his son at the length.
In Context
20Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka? 2 Kuna matumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko yeye. 1
22Mtu mwenye hasira huchochea ugomvi, 2 naye mtu mwenye hasira ya haraka 2 hutenda dhambi nyingi. 1
Cross References
Proverbs 29:15Fimbo ya maonyo hutia hekima, 2 bali mtoto aliyeachiwa bila maonyo 2 humwaibisha mama yake. 1
Luke 7:2Mtumishi wa jemadari mmoja wa Kirumi, ambaye bwana wake alimthamini sana, alikuwa mgonjwa sana karibu kufa.
1 Timothy 5:6Lakini mjane aishiye kwa anasa amekufa, ingawa anaishi.