Proverbs 29:24
Anayekubaliana na mwizi ni adui wa nafsi yake mwenyewe; 2 huapishwa lakini hathubutu kushuhudia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whoso is partner with a thief hateth his own soul: he heareth cursing, and bewrayeth it not.
In Context
23Kiburi cha mtu humshusha, 2 bali mtu mwenye roho ya unyenyekevu 2 hupata heshima. 1
25Kuwaogopa watu huwa ni mtego, 2 bali yeyote amtumainiaye Bwana atakuwa salama. 1
Cross References
Leviticus 5:1“ ‘Ikiwa mtu atakuwa ametenda dhambi kwa sababu hakusema alipotakiwa kutoa ushahidi hadharani kuhusu jambo aliloona au kujua habari zake, yeye anastahili adhabu.
Psalms 50:18Unapomwona mwizi, unaungana naye, 2 unapiga kura yako pamoja na wazinzi. 1
Proverbs 1:19Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila; 2 huuondoa uhai wa wale wenye mali. 1 Onyo Dhidi Ya Kukataa Hekima 1
Proverbs 8:36Lakini yeyote ashindwaye kunipata 2 hujiumiza mwenyewe; 2 na wote wanichukiao mimi hupenda mauti.”
Proverbs 20:2Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; 2 yeye amkasirishaye hupoteza uhai wake. 1
Mark 11:17Naye alipokuwa akiwafundisha, akasema, “Je, haikuandikwa kuwa: 1 “ ‘Nyumba yangu itaitwa 2 nyumba ya sala kwa mataifa yote’? Lakini ninyi mmeifanya kuwa ‘pango la wanyangʼanyi.’ ”