Proverbs 29:27
Mwenye haki huwachukia sana wasio waaminifu; 2 waovu huwachukia sana wenye haki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Wengi hutafuta kusikilizwa na mtawala, 2 bali mtu hupata haki kutoka kwa Bwana. 1
Cross References
Psalms 119:115Ondokeni kwangu, ninyi mtendao mabaya, 2 ili niweze kushika amri za Mungu wangu! 1
Proverbs 13:19Tarajio lililotimizwa ni tamu kwa nafsi, 2 bali wapumbavu huchukia sana kuacha ubaya. 1
Proverbs 29:10Watu wamwagao damu humchukia mtu mwadilifu 2 na hutafuta kumuua mtu mnyofu. 1
John 7:7Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi, lakini unanichukia mimi kwa sababu ninawashuhudia kwamba matendo yao ni maovu.
John 15:23Yeyote anayenichukia mimi, anamchukia pia na Baba yangu.