Proverbs 3:12
kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, 2 kama vile baba afanyavyo 2 kwa mwana apendezwaye naye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For whom the LORD loveth he correcteth; even as a father the son in whom he delighteth.
In Context
11Mwanangu, usiidharau adhabu ya Bwana 2 na usichukie kukaripiwa naye, 1
13Heri mtu yule aonaye hekima, 2 mtu yule apataye ufahamu, 1
Cross References
Deuteronomy 8:5Mjue basi ndani ya mioyo yenu kama mtu anavyomwadibisha mwanawe, ndivyo Bwana Mungu wako atawaadibisha ninyi.
Proverbs 13:24Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe, 2 bali yeye ampendaye 2 huwa mwangalifu kumwadibisha. 1
Revelation 3:19“Wale niwapendao, ninawakemea na kuwaadibisha. Hivyo uwe na bidii ukatubu.