Proverbs 3:15
Hekima ana thamani kuliko marijani; 2 hakuna chochote unachokitamani 2 kinachoweza kulinganishwa naye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14kwa maana hekima ana faida kuliko fedha 2 na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi. 1
Cross References
Psalms 63:3Kwa sababu upendo wako ni bora kuliko uhai, 2 midomo yangu itakuadhimisha. 1
Proverbs 8:11kwa maana hekima ina thamani kuliko marijani 2 na hakuna chochote unachohitaji kinacholingana naye. 1
Proverbs 31:10Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata? 2 Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani. + 31:10 Mithali 31:10-31 imetungwa kila mstari ukianzia na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22. 1
Matthew 13:44“Ufalme wa Mbinguni unafanana na hazina iliyofichwa shambani, ambayo mtu mmoja alipoiona akaificha tena. Kisha katika furaha yake, akaenda akauza vyote alivyokuwa navyo, akalinunua lile shamba.”