Proverbs 31:10
Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata? 2 Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani. + 31:10 Mithali 31:10-31 imetungwa kila mstari ukianzia na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who can find a virtuous woman? for her price is far above rubies.
In Context
11Mume wake anamwamini kikamilifu 2 wala hakosi kitu chochote cha thamani. 1
Cross References
Ruth 3:11Sasa, binti yangu, usiogope. Nitakufanyia yote uliyoomba. Kwa maana mji wote wa watu wangu wanakujua ya kwamba wewe ni mwanamke mwenye tabia nzuri.
Proverbs 3:15Hekima ana thamani kuliko marijani; 2 hakuna chochote unachokitamani 2 kinachoweza kulinganishwa naye. 1
Proverbs 12:4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe, 2 bali aaibishaye ni kama uozo 2 katika mifupa ya mumewe. 1
Proverbs 18:22Apataye mke apata kitu chema 2 naye ajipatia kibali kwa Bwana. 1
Proverbs 20:15Dhahabu kunayo, na marijani kwa wingi, 2 lakini midomo inenayo maarifa 2 ni kito cha thamani kilicho adimu. 1
Song of Solomon 6:8Panaweza kuwepo malkia sitini, 2 masuria themanini 2 na mabikira wasiohesabika; 1