Proverbs 3:19
Kwa hekima Bwana aliiweka misingi ya dunia, 2 kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD by wisdom hath founded the earth; by understanding hath he established the heavens.
In Context
18Yeye ni mti wa uzima kwa wale wanaomkumbatia; 2 wale wamshikao watabarikiwa. 1
20kwa maarifa yake vilindi viligawanywa, 2 nayo mawingu yanadondosha umande. 1
Cross References
Job 38:4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? 2 Niambie, kama unafahamu. 1
Psalms 136:5Ambaye kwa ufahamu wake aliziumba mbingu, Fadhili zake zadumu milele. 1
Proverbs 8:29wakati aliiwekea bahari mpaka wake 2 ili maji yasivunje agizo lake, 1 na wakati aliweka misingi ya dunia. 2
Jeremiah 51:15“Aliiumba dunia kwa uweza wake; 2 akaweka misingi ya ulimwengu kwa hekima yake 2 na akazitandaza mbingu kwa ufahamu wake. 1