Proverbs 3:20
kwa maarifa yake vilindi viligawanywa, 2 nayo mawingu yanadondosha umande. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
By his knowledge the depths are broken up, and the clouds drop down the dew.
In Context
19Kwa hekima Bwana aliiweka misingi ya dunia, 2 kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake; 1
21Mwanangu, hifadhi maamuzi mema na busara, 2 usiache vitoke machoni pako; 1
Cross References
Genesis 1:9Mungu akasema, “Maji yaliyopo chini ya anga na yakusanyike mahali pamoja, pawepo na nchi kavu.” Ikawa hivyo.
Genesis 27:28Mungu na akupe umande kutoka mbinguni 2 na utajiri wa duniani: 2 wingi wa nafaka na divai mpya. 1
Deuteronomy 33:28Hivyo Israeli ataishi salama peke yake. 2 Mzao wa Yakobo ni salama 1 katika nchi ya nafaka na divai mpya, 2 mahali ambapo mbingu 2 hudondosha umande. 1
Job 38:8“Ni nani aliyeifungia bahari milango 2 ilipopasuka kutoka tumbo, 1
Psalms 65:9Waitunza nchi na kuinyeshea, 2 waitajirisha kwa wingi. 1 Vijito vya Mungu vimejaa maji 2 ili kuwapa watu nafaka, 2 kwa maana wewe umeviamuru. 1
Jeremiah 14:22Je, kuna sanamu yoyote isiyofaa kitu ya mataifa 2 iwezayo kuleta mvua? 1 Je, anga peke yake zaweza kutoa mvua? 2 La hasha, ni wewe peke yako, 2 Ee Bwana, Mungu wetu. 1 Kwa hiyo tumaini letu liko kwako, 2 kwa kuwa wewe ndiwe ufanyaye haya yote.