Proverbs 3:2
kwa kuwa zitakuongezea miaka mingi ya maisha yako 2 na kukuletea mafanikio. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For length of days, and long life, and peace, shall they add to thee.
In Context
1Mwanangu, usisahau mafundisho yangu, 2 bali zitunze amri zangu moyoni mwako, 1
Cross References
Deuteronomy 11:21ili kwamba siku zenu na siku za watoto wenu zipate kuwa nyingi katika nchi ile Bwana aliyoapa kuwapa baba zenu, kama zilivyo nyingi siku za mbingu juu ya nchi.
Psalms 21:4Alikuomba maisha, nawe ukampa, 2 wingi wa siku milele na milele. 1
Psalms 91:16Kwa siku nyingi nitamshibisha 2 na kumwonyesha wokovu wangu.”
Psalms 128:6nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako. 1 Amani iwe juu ya Israeli.
Proverbs 4:4baba alinifundisha akisema, 2 “Yashike maneno yangu yote kwa moyo wako wote; 2 yashike maagizo yangu na wewe utaishi. 1
Proverbs 9:11Kwa maana kwa msaada wangu 2 siku zako zitakuwa nyingi, 2 na miaka itaongezwa katika maisha yako. 1