Genesis 27:28
Mungu na akupe umande kutoka mbinguni 2 na utajiri wa duniani: 2 wingi wa nafaka na divai mpya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 27:39Baba yake Isaki akamjibu, akamwambia, 1 “Makao yako yatakuwa 2 mbali na utajiri wa dunia, 2 mbali na umande wa mbinguni juu. 1
Genesis 49:20“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, 2 naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme. 1
Numbers 18:12“Ninawapa mafuta ya zeituni yaliyo bora kuliko yote, na divai mpya iliyo bora kuliko zote na nafaka wanazompa Bwana kama malimbuko katika mavuno yao.
Deuteronomy 8:7Kwa kuwa Bwana Mungu wenu anawaleta katika nchi nzuri, nchi yenye vijito na mabwawa ya maji, yenye chemchemi zinazotiririka mabondeni na katika vilima;
Deuteronomy 32:2Mafundisho yangu na yanyeshe kama mvua, 2 na maneno yangu na yashuke kama umande, 1 kama manyunyu juu ya majani mabichi, 2 kama mvua tele juu ya mimea myororo. 1
Deuteronomy 33:28Hivyo Israeli ataishi salama peke yake. 2 Mzao wa Yakobo ni salama 1 katika nchi ya nafaka na divai mpya, 2 mahali ambapo mbingu 2 hudondosha umande. 1