Proverbs 3:28
Usimwambie jirani yako, 2 “Njoo baadaye, nitakupa kesho”: 2 wakati wewe unacho kitu kile karibu nawe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27Usizuie wema kwa wale wanaostahili 2 ikiwa katika uwezo wako kutenda. 1
29Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako, 2 ambaye anaishi karibu na wewe akikuamini. 1
Cross References
Leviticus 19:13“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako. “ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi.
Proverbs 27:1Usijisifu kwa ajili ya kesho, 2 kwa kuwa hujui ni nini kitakachozaliwa kwa siku moja. 1
Ecclesiastes 11:6Panda mbegu yako asubuhi, 2 nako jioni usiruhusu mikono yako ilegee, 1 kwa maana hujui ni ipi itakayofanikiwa, 2 kwamba ni hii au ni ile, 2 au kwamba zote zitafanikiwa sawasawa. 1 Mkumbuke Muumba Wako Ukiwa Bado Kijana 1
2 Corinthians 8:11Sasa ikamilisheni kazi hii kwa shauku kama mlivyoanza, jitoleeni kulingana na uwezo wenu.
1 Timothy 6:18Waagize watende mema, wawe matajiri katika matendo mema, pia wawe wakarimu na walio tayari kushiriki mali zao na wengine.