The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 3 › Proverbs 3:29

Proverbs 3:29

Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako, 2 ambaye anaishi karibu na wewe akikuamini. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Devise not evil against thy neighbour, seeing he dwelleth securely by thee.

In Context

28Usimwambie jirani yako, 2 “Njoo baadaye, nitakupa kesho”: 2 wakati wewe unacho kitu kile karibu nawe. 1

30Usimshtaki mtu bila sababu, 2 wakati hajakutenda dhara lolote. 1

Read all of Proverbs 3

Cross References

Psalms 55:20Mwenzangu hushambulia rafiki zake, 2 naye huvunja agano lake. 1

Proverbs 6:14ambaye hupanga ubaya 3 kwa udanganyifu moyoni mwake: 2 daima huchochea fitina. 1

Proverbs 14:22Je, wale wanaopanga ubaya hawapotoki? 2 Bali wale wanaopanga kilicho chema 2 hupata upendo na uaminifu. 1

Jeremiah 18:18Wakasema, “Njooni, tutunge hila dhidi ya Yeremia; kwa kuwa kufundisha sheria kwa kuhani hakutapotea, wala shauri litokalo kwa mwenye hekima, wala neno la manabii. Hivyo njooni, tumshambulie kwa ndimi zetu na tusijali chochote asemacho.” 1

Zechariah 7:10Msimwonee mjane wala yatima, mgeni wala maskini. Msiwaziane mabaya mioyoni mwenu ninyi kwa ninyi.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 3:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 3:28Proverbs 3Proverbs 3:30 →