The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 3 › Proverbs 3:33

Proverbs 3:33

Laana ya Bwana i juu ya nyumba ya mwovu, 2 lakini yeye huibariki nyumba ya mwenye haki. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The curse of the LORD is in the house of the wicked: but he blesseth the habitation of the just.

In Context

32kwa kuwa Bwana humchukia mtu mpotovu, 2 lakini siri yake iko kwa mwenye haki. 1

34Huwadhihaki wale wanaodhihaki, 2 lakini huwapa neema wale wanyenyekevu. 1

Read all of Proverbs 3

Cross References

Leviticus 26:14“ ‘Lakini kama hamtanisikiliza na kutimiza maagizo haya yote,

Deuteronomy 11:28laana kama hamtatii maagizo ya Bwana Mungu wenu na kuacha njia ambayo ninawaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua.

Deuteronomy 28:16Utalaaniwa mjini na utalaaniwa mashambani.

Joshua 6:18Lakini mjiepushe na vitu vilivyowekwa wakfu, msije mkachukua chochote katika hivyo, msije mkajiletea maangamizi katika maskani ya Israeli na kuiletea taabu.

2 Samuel 6:11Sanduku la Bwana likabaki katika nyumba ya Obed-Edomu, Mgiti, kwa miezi mitatu, naye Bwana akambariki pamoja na nyumba yake yote.

Job 24:18“Lakini wao ni povu juu ya maji; 2 sehemu yao juu ya nchi imelaaniwa, 1 hivyo hakuna hata mmoja 2 aendaye kwenye shamba la mizabibu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 3:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 3:32Proverbs 3Proverbs 3:34 →