Proverbs 30:11
“Wako watu wale ambao huwalaani baba zao 2 na wala hawawabariki mama zao; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There is a generation that curseth their father, and doth not bless their mother.
In Context
10“Usimchongee mtumishi kwa bwana wake, 2 asije akakulaani, ukapatilizwa kwalo. 1
12wale ambao ni safi machoni pao wenyewe 2 kumbe hawakuoshwa uchafu wao; 1
Cross References
Leviticus 20:9“ ‘Ikiwa mtu yeyote atamlaani baba yake au mama yake, lazima auawe. Amemlaani baba yake au mama yake, nayo damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.
Deuteronomy 27:16“Alaaniwe mtu amdharauye baba yake na mama yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Proverbs 23:22Msikilize baba yako, aliyekuzaa, 2 wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee. 1
Proverbs 30:17“Jicho lile limdhihakilo baba, 2 lile linalodharau kumtii mama, 1 litangʼolewa na kunguru wa bondeni, 2 litaliwa na tai. 1
Matthew 15:4Kwa maana Mungu alisema, ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.’
1 Timothy 5:4Kama mjane ana watoto ama wajukuu, hawa inawapasa awali ya yote wajifunze kutimiza wajibu wao wa kumcha Mungu katika matendo kwa kuwatunza wale wa jamaa zao wenyewe, na hivyo wawarudishie wema waliowatendea wazazi wao, kwa kuwa hivi ndivyo impendezavyo Mungu.