Proverbs 23:22
Msikilize baba yako, aliyekuzaa, 2 wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hearken unto thy father that begat thee, and despise not thy mother when she is old.
In Context
21kwa maana walevi na walafi huwa maskini, 2 nako kusinzia huwavika matambara. 1
23Nunua kweli wala usiiuze, 2 pata hekima, adabu na ufahamu. 1
Cross References
Deuteronomy 21:18Kama mtu ana mwana mkaidi na mwasi ambaye hamtii baba yake na mama yake, na hasikii wazazi wanapomrudi,
Proverbs 1:8Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, 2 wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 1
Proverbs 15:20Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, 2 bali mtu mpumbavu humdharau mama yake. 1
Proverbs 30:17“Jicho lile limdhihakilo baba, 2 lile linalodharau kumtii mama, 1 litangʼolewa na kunguru wa bondeni, 2 litaliwa na tai. 1
Mark 7:10Kwa mfano, Mose alisema, ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.’
Ephesians 6:1Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa kuwa hili ni jema.