Proverbs 30:19
Ni mwendo wa tai katika anga, 2 mwendo wa nyoka juu ya mwamba, 1 mwendo wa meli katika maji makuu ya bahari, 2 nao mwendo wa mtu pamoja na msichana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18“Kuna vitu vitatu vinavyonishangaza sana, 2 naam, vinne nisivyovielewa: 1
Cross References
Exodus 22:16“Kama mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa na akilala naye, lazima alipe mahari, kisha atamwoa msichana huyo.
Isaiah 40:31bali wale wamtumainio Bwana 2 atafanya upya nguvu zao. 1 Watapaa juu kwa mbawa kama tai; 2 watapiga mbio wala hawatachoka, 2 watatembea kwa miguu wala hawatazimia.