Proverbs 30:22
Mtumwa awapo mfalme, 2 mpumbavu ashibapo chakula, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For a servant when he reigneth; and a fool when he is filled with meat;
In Context
21“Kwa mambo matatu nchi hutetemeka, 2 naam, kwa mambo manne haiwezi kuvumilia: 1
23mwanamke asiyependwa aolewapo, 2 naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake. 1
Cross References
1 Samuel 25:3Jina la mtu huyo lilikuwa Nabali, naye mkewe aliitwa Abigaili. Alikuwa mwanamke mwenye busara na mzuri wa sura, lakini mumewe, ambaye alikuwa wa ukoo wa Kalebu, alikuwa mwenye hasira na mchoyo katika utendaji wake.
1 Samuel 25:25Bwana wangu na asimjali huyo mtu mwovu Nabali. Yeye anafanana na jina lake; jina lake ni Mpumbavu, nao upumbavu huenda pamoja naye. Lakini kwangu mimi, mtumishi wako, sikuwaona hao watu waliotumwa na bwana wangu.
1 Samuel 30:16Akamwongoza Daudi mpaka mahali walipokuwa, nao walikuwa wametawanyika eneo lote, wakila, wakinywa na wakifanya karamu kwa sababu ya nyara nyingi walizochukua kutoka nchi ya Wafilisti na kutoka Yuda.
Proverbs 28:3Mtu maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi 2 ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. 1
Isaiah 3:4Nitawafanya wavulana wawe maafisa wao, 2 watoto ndio watakaowatawala. 1