Proverbs 30:31
jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu, 2 naye mfalme pamoja na jeshi lake lililomzunguka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A greyhound; an he goat also; and a king, against whom there is no rising up.
In Context
30simba, mwenye nguvu miongoni mwa wanyama, 2 asiyerudi nyuma kwa chochote; 1
Cross References
Proverbs 16:14Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti, 2 bali mtu mwenye hekima ataituliza. 1
Daniel 3:15Basi wakati mtakaposikia sauti ya baragumu, filimbi, marimba, zeze, kinubi, zumari na aina zote za ala za uimbaji, kama mtakuwa tayari kusujudu na kuiabudu hiyo sanamu niliyoitengeneza, vyema sana. Lakini kama hamtaiabudu, mtatupwa saa iyo hiyo ndani ya tanuru iwakayo moto. Naye ni mungu yupi atakayeweza kuwaokoa ninyi, kutoka mkono wangu?”