Proverbs 30:32
“Ikiwa umefanya upumbavu na ukajitukuza mwenyewe, 2 au kama umepanga mabaya, 2 basi funika mdomo wako na mkono wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu, 2 naye mfalme pamoja na jeshi lake lililomzunguka. 1
Cross References
Job 40:4“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe? 2 Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu. 1
Proverbs 26:12Je, unamwona mtu ajionaye mwenye hekima 2 machoni pake mwenyewe? 2 Liko tumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko kwake. 1
Micah 7:16Mataifa yataona na kuaibika, 2 waliondolewa nguvu zao zote. 1 Wataweka mikono yao kwenye vinywa vyao 2 na masikio yao yatakuwa na uziwi. 1