Proverbs 16:14
Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti, 2 bali mtu mwenye hekima ataituliza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The wrath of a king is as messengers of death: but a wise man will pacify it.
In Context
13Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; 2 humthamini mtu asemaye kweli. 1
15Uso wa mfalme ungʼaapo, inamaanisha uhai; 2 upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli. 1
Cross References
Genesis 40:2Farao akawakasirikia hawa maafisa wake wawili, mnyweshaji mkuu na mwokaji mkuu,
Esther 7:7Mfalme akainuka kwa ghadhabu, akaacha mvinyo wake, akaenda kwenye bustani ya jumba la kifalme. Lakini Hamani, akitambua kwamba mfalme ameshaamua hatima yake, alibaki nyuma kumsihi Malkia Esta aokoe maisha yake.
Proverbs 19:12Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba, 2 bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi. 1
Proverbs 29:26Wengi hutafuta kusikilizwa na mtawala, 2 bali mtu hupata haki kutoka kwa Bwana. 1
Daniel 2:16Aliposikia jambo hili, Danieli akamwendea mfalme, akamwomba ampe muda ili aweze kumfasiria ile ndoto.
Mark 6:27Mara mfalme akatuma askari mmojawapo wa walinzi wake kukileta kichwa cha Yohana. Akaenda na kumkata Yohana kichwa humo gerezani,