Proverbs 31:15
Yeye huamka kungali bado giza 2 huwapa jamaa yake chakula 2 na mafungu kwa watumishi wake wa kike. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Yeye ni kama meli za biashara 2 akileta chakula chake kutoka mbali. 1
16Huangalia shamba na kulinunua, 2 kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu. 1
Cross References
2 Chronicles 36:15Bwana, Mungu wa baba zao, akawapelekea neno kupitia wajumbe wake tena na tena, kwa sababu alikuwa anawahurumia watu wake pamoja na mahali pa maskani yake.
Proverbs 20:13Usiupende usingizi la sivyo utakuwa maskini, 2 uwe macho nawe utakuwa na chakula cha akiba. 1
Matthew 24:25Angalieni, nimekwisha kuwaambia mapema.
Luke 12:42Yesu akamjibu, “Ni yupi basi wakili mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamfanya msimamizi juu ya watumishi wake wote, ili awape watumishi wengine chakula chao wakati unaofaa?