Proverbs 31:16
Huangalia shamba na kulinunua, 2 kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She considereth a field, and buyeth it: with the fruit of her hands she planteth a vineyard.
In Context
15Yeye huamka kungali bado giza 2 huwapa jamaa yake chakula 2 na mafungu kwa watumishi wake wa kike. 1
17Hufanya kazi zake kwa nguvu, 2 mikono yake ina nguvu kwa ajili ya kazi zake. 1
Cross References
Joshua 15:18Siku moja Aksa alipokuja kwa Othnieli, alimsihi Othnieli amwombe baba yake, Kalebu, shamba. Aksa aliposhuka kutoka juu ya punda wake, Kalebu akamuuliza, “Je, wataka nikufanyie nini?”
Song of Solomon 8:12Lakini shamba langu la mizabibu 2 ambalo ni langu mwenyewe 2 ni langu kutoa; 1 hizo shekeli 1,000 ni kwa ajili yako, ee Solomoni, 2 na shekeli mia mbili + 8:12 Shekeli 200 ni kama kilo 2.3. ni kwa ajili 2 ya wale wanaotunza matunda yake. Mpenzi 1