Proverbs 31:17
Hufanya kazi zake kwa nguvu, 2 mikono yake ina nguvu kwa ajili ya kazi zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She girdeth her loins with strength, and strengtheneth her arms.
In Context
16Huangalia shamba na kulinunua, 2 kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu. 1
18Huona kwamba biashara yake ina faida, 2 wala taa yake haizimiki usiku. 1
Cross References
Genesis 49:24Lakini upinde wake ulibaki imara, 2 mikono yake ikatiwa nguvu, 1 na mkono wa Mwenye Nguvu wa Yakobo, 2 kwa sababu ya Mchungaji, Mwamba wa Israeli, 1
2 Kings 4:29Elisha akamwambia Gehazi, “Jikaze viuno, chukua fimbo yangu mkononi mwako na ukimbie. Ikiwa utakutana na mtu yeyote, usimsalimie, na mtu yeyote akikusalimu, usimjibu. Ilaze fimbo yangu juu ya uso wa mtoto.”
Isaiah 44:12Muhunzi huchukua kifaa 2 na kukifanyia kazi kwenye makaa ya moto, 1 hutengeneza sanamu kwa nyundo, 2 huifanyiza kwa nguvu za mkono wake. 1 Huona njaa na kupoteza nguvu zake, 2 asipokunywa maji huzimia. 1
Luke 12:35“Kuweni tayari mkiwa mmevikwa kwa ajili ya huduma na taa zenu zikiwa zinawaka,
Ephesians 6:14Kwa hiyo simameni imara mkiwa mmejifunga kweli kiunoni na kuvaa dirii ya haki kifuani,