Proverbs 31:24
Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza, 2 naye huwauzia wafanyabiashara mishipi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She maketh fine linen, and selleth it; and delivereth girdles unto the merchant.
In Context
23Mume wake anaheshimiwa kwenye lango la mji, 2 aketipo miongoni mwa wazee wa nchi. 1
25Amevikwa nguvu na heshima, 2 anaweza kucheka bila kuwa na hofu kwa siku zijazo. 1
Cross References
Judges 14:12Samsoni akawaambia, “Niwape kitendawili, mkiweza kunipa jibu katika muda wa siku hizi saba za karamu, nitawapa mavazi thelathini ya kitani na mavazi mengine mivao thelathini.
Proverbs 31:13Huchagua sufu na kitani 2 naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii. 1
Proverbs 31:19Huweka mikono yake kwenye pia, 2 navyo vidole vyake hushikilia kijiti chenye uzi. 1
Luke 16:19“Palikuwa na mtu mmoja tajiri aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, ambaye aliishi kwa anasa kila siku.