The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 31 › Proverbs 31:23

Proverbs 31:23

Mume wake anaheshimiwa kwenye lango la mji, 2 aketipo miongoni mwa wazee wa nchi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Her husband is known in the gates, when he sitteth among the elders of the land.

In Context

22Hutengeneza mazulia ya urembo ya kufunika kitanda chake, 2 yeye huvaa kitani safi na urujuani. 1

24Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza, 2 naye huwauzia wafanyabiashara mishipi. 1

Read all of Proverbs 31

Cross References

Deuteronomy 21:19baba yake na mama yake watamleta kwa wazee kwenye lango la mji wake.

Ruth 4:11Kisha wazee pamoja na watu wote waliokuwa langoni wakasema, “Sisi ni mashahidi. Bwana na amfanye mwanamke huyu aingiaye nyumbani mwako kuwa kama Raheli na kama Lea, wale wanawake wawili ambao pamoja waliijenga nyumba ya Israeli. Nawe ufanikiwe katika Efrathi na uwe mashuhuri katika Bethlehemu.

Proverbs 12:4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe, 2 bali aaibishaye ni kama uozo 2 katika mifupa ya mumewe. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 31:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 31:22Proverbs 31Proverbs 31:24 →