Proverbs 31:28
Watoto wake huamka na kumwita aliyebarikiwa, 2 mumewe pia humsifu, akisema: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Her children arise up, and call her blessed; her husband also, and he praiseth her.
In Context
27Huangalia mambo ya nyumbani mwake 2 wala hali chakula cha uvivu. 1
29“Wanawake wengi hufanya vitu vyenye sifa nzuri, 2 lakini wewe umewapita wote.” 1
Cross References
Genesis 48:12Ndipo Yosefu akawaondoa wanawe magotini mwa Israeli naye akasujudu hadi nchi.
Psalms 116:16Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako, 2 mimi ni mtumishi wako, 2 mwana wa mjakazi wako; + 116:16 Au: mwanao mwaminifu. 1 umeniweka huru 2 toka katika minyororo yangu. 1
Song of Solomon 7:1Ee binti wa mwana wa mfalme, 2 tazama jinsi inavyopendeza miguu yako katika viatu! 1 Miguu yako yenye madaha ni kama vito vya thamani, 2 kazi ya mikono ya fundi stadi. 1
2 Timothy 1:5Nimekuwa nikiikumbuka imani yako ya kweli, waliokuwa nayo bibi yako Loisi na mama yako Eunike na ambayo mimi ninasadiki sasa wewe pia unayo.