Proverbs 8:13
Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; 2 ninachukia kiburi na majivuno, 2 tabia mbaya na mazungumzo potovu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12“Mimi hekima, nakaa pamoja na busara; 2 ninamiliki maarifa na busara. 1
14Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu; 2 nina ufahamu na nina nguvu. 1
Cross References
1 Samuel 2:3“Msiendelee kusema kwa kiburi hivyo 2 wala msiache vinywa vyenu kunena kwa kiburi, 1 kwa kuwa Bwana ndiye Mungu ajuaye, 2 na kwa yeye matendo hupimwa. 1
Psalms 5:4Wewe si Mungu unayefurahia uovu, 2 kwako mtu mwovu hataishi. 1
Psalms 101:3Sitaweka mbele ya macho yangu 2 kitu kiovu. 1 Ninayachukia matendo ya watu wasio na imani; 2 hawatashikamana nami. 1
Psalms 119:128na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili, 2 nachukia kila njia potovu. 2 Shauku Ya Kuitii Sheria Ya Bwana 1
Proverbs 4:24Epusha kinywa chako na ukaidi; 2 weka mazungumzo machafu mbali na midomo yako. 1
Proverbs 6:16Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, 2 naam, viko saba vilivyo chukizo kwake: 3