Proverbs 4:12
Utembeapo, hatua zako hazitazuiliwa; 2 ukimbiapo, hutajikwaa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When thou goest, thy steps shall not be straitened; and when thou runnest, thou shalt not stumble.
In Context
11Ninakuongoza katika njia ya hekima 2 na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka. 1
13Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; 2 mshike, maana yeye ni uzima wako. 1
Cross References
2 Samuel 22:37Huyapanua mapito yangu, 2 ili miguu yangu isiteleze. 1
Psalms 18:36Huyapanua mapito yangu, 2 ili miguu yangu isiteleze. 1
Psalms 119:165Wanaopenda sheria yako wana amani tele, 2 wala hakuna kitu kinachoweza kuwakwaza. 1
Proverbs 3:23Kisha utaenda katika njia yako salama, 2 wala mguu wako hautajikwaa; 1
Proverbs 6:22Wakati utembeapo, yatakuongoza; 2 wakati ulalapo, yatakulinda; 2 wakati uamkapo, yatazungumza nawe. 1
John 11:9Yesu akawajibu, “Si kuna saa kumi na mbili za mchana katika siku moja? Wala watembeao mchana hawawezi kujikwaa kwa maana wanaona nuru ya ulimwengu huu.